Ruka hadi kwenye maudhui makuu

TUZO ZA WASANII BORA.












TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Biashara Zanzibar Nd. Mohamed Baucha wa kulia akimkabidhi Tunzo ya Video bora ya mwaka muziki wa kizazi kipya Nassir Hassan (Vanila) mara baada ya kuibuka mshindi, tunzo hizo zimeandaliwa na Kampuni ya Zanzibar Media Corporation LTD katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Hall  Bwawani Mjini Zanzibar. Mwanamitindo marufu wa Zanzibar Farouk Abdillahi akimkabidhi Tunzo ya Video bora mwaka ya Taraab Bi. Saada Nassor Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh'd (kushoto) akimkabidhi tunzo Mwanamuziki Bora wa kiume wa tarabu asili Cholo Ganun  Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora)  Dkt. Mwinyihaji Makame akimkabidhi tunzo ya muandaaji bora wa Tamasha Zanzibar Music Award mwaka 2015 Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa Redio ya Zenji FM Mohamed Seif Khatib katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwawani Mjini Zanzibar.  Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Dkt. Mwinyihaji Makame katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Zanzibar Midia Corporation LTD. Picha zote na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar. Picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Read more



Habari Zinazoendana

3 years ago

GPL

TUZO KWA WASANII BORA WA ZANZIBAR KUFANYIKA KESHO

Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi wa redio ya Zenji Fm, Mohamed Seif Khatib, akimkabidhi Tuzo msanii, Rukia Ramadhan. Kampuni ya Zanzibar Media Corporation ambayo ni wamiliki wa Zenji Fm Radio na gazeti la Nipe Habari, kesho Ijumaa tarehe 27 February  wanatarajia kutoa tuzo kwa wasanii bora wa Zanzibar. Akizungumza na gazeti hili Mratibu wa tuzo hizo Nd Said Khamis amesema jumla ya washiriki 76 wameshindania katika...

2 years ago

Bongo5

Rooney ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mwaka 2015 Uingereza

150614192933_wayne_rooney__640x360_reutersMchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 nchini Uingereza akitetea tena tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.
150614192933_wayne_rooney__640x360_reuters
Hii ni mara ya 4 Rooney kushinda tuzo hii ambayo hupigiwa kura na wanachama wa Chama cha Mashabiki wa Soka England.
Mwezi Desemba Shirikisho la Soka la England liliyaweka hadharani majina ya wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka nchini humo.
Mwaka wa 2015 Rooney alii isaidia England kufuzu kuingia fainali za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016,...

2 years ago

Dewji Blog

TBL Group yashinda tuzo ya mwajiri bora mwaka 2015


Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa (kulia) akimkabidhi  kombe la tuzo ya mwajiri bora kwa Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese (Kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City mwishoni mwa wiki ambapo TBL iliibuka kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2015,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiki.

Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese akionyesha kombe la tuzo ya mwajiri bora...

2 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro. Mwakilishi wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber, Dkt. Timoth Kyepa akipokea...

2 years ago

Dewji Blog

Mama Kikwete apewa tuzo ya kimataifa ya mwaka 2015 ya Kiongozi bora Mwanamke


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea TUZO maalum ya “ CWL International Women of Excellency Award for Leadership” kutoka kwa Profesa Joseph Adaikalam, Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Chuo Kukuu cha Binary kilichoko nchini Malaysia kwa kutambua na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya wanawake nchini Tanzania na Afrika tarehe 24.7.2015. Aliyesimama (kushoto) ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Mlima, akifuatiwa na Profesa Bulochana Nair na Kulia ni...

2 years ago

Dewji Blog

TBL Group yaibuka mshindi wa kwanza wa tuzo ya mzalishaji bora wa mwaka 2015

Kampuni ya  TBL Group imeibuka mshindi wa kwanza wa tuzo ya Rais ya mzalishaji bora kwa kipindi cha mwaka 2015,vilevile imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la uzalishaji wa vinywaji ambapo  imetunukiwa tuzo kwa ushindi huo.
Tuzo ya mzalishaji bora hutolewa na Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI na hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi mbalimbali imefanyika leo jijini Dar es salaam katika  hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambapo mgeni wa heshima aliyekabidhi tuzo alikuwa ni Rais wa...

1 year ago

Bongo5

Majina ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya mwaka 2015/2016

Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya kwa msimu wa mwaka 2015/2016, majina hayo 10 yametangazwa huku Cristiano Ronaldo akipewa nafasi ya kushinda tuzo hiyo itakayotolewa Agosti 25 mwaka huu.
mchezaji-bora-Ulaya
Hi ndiyo orodha ya majina 10 ya wachezaji wanao wania tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya msimu wa 2015/16
Cristiano Ronaldo (Real Madrid & Ureno)
Gareth Bale (Real Madrid & Wales)
Gianluigi Buffon (Juventus & Italia)
Antoine Griezmann...

3 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

2 years ago

MillardAyo

List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa …

January 11 ndio ilikuwa siku ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA kutangaza washindi wa tuzo kadhaa ikiwemo tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ambayo ilikuwa inawaniwa na Lionel Messi, Neymar na Cristiano Ronaldo. FIFA usiku wa January 11 Zurich Uswiss wamemtangaza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi […]
The post List ya washindi wa tuzo za Dunia, Ballon d’Or, goli bora la mwaka na kocha bora vyote vipo hapa … appeared first on...

Share




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Himid Show With Dream Boys Freestyle Session (Arusha Rappers)

NAY WA MITEGO - HAKI (OFFICIAL MUSIC VIDEO) FULL HD

THE 50 GREATEST HIP-HOP

The 50 Greatest Hip-Hop Songs of All Time News Video Music Politics TV Movies Video Games RS Country RS Hip-Hop More TRENDING 20 Best, Worst and Most WTF Moments of Golden Globes... Rose McGowan, Asia Argento Criticize 'Hollywood Fakery'... 10 Most WTF Moments of Lifetime's 'A Tale of Two Coreys' Sheffield on Golden Globes 2018 and How Oprah Saved the... 50-41 40-31 30-21 20-11 10-1 The 50 Greatest Hip-Hop Songs of All Time Jay Z, Eminem, Tupac, Biggie and more 50 Getty (3) December 5, 2012 More News Hear Flatbush Zombies' Brooklyn Hip-Hop Playlist 40 Best Rap Albums of 2015 All Stories  Looking for the full list of the 100 greatest hip-hop songs of all time?  Check it out right here. Editor's note: To make this list,  Rolling Stone  asked 33 artists and experts – from Rick Rubin to Busta Rhymes – to choose their favorite hip-hop tracks, th...